Siamini Kama Nimepungua Hivi | Nakaribia Kutimiza Ndoto Yangu Kushiriki Mashindano Ya Miss World
HTML-код
- Опубликовано: 10 апр 2025
- Hii ni Historia Ya Mwanamke Aliekua Na Unene Uliopitiliza Lakini Mwisho Wa Siku Nimefanikiwa Kupunguza Uzito
Kumbuka :Asili ya Video Hii Iliundwa Kwa KISWAHILI&KIFARANSA Chini Ya Afrimax Ltd,Ikimaanisha Tunamiliki Haki Yake kwa 100%,Hili Ni Toleo La Kiswahili,
#afrimaxswahili # #truly #Dunia #historiaisiyoyakawaida #trending #tanzania #rwanda
Usisahau Kubonyeza Alama Nyekundu (Subscribe)kisha Alama Ya Kengele ili Uwe Wa Kwanza Kupata Video Zetu AFRIMAX SWAHILI
#afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #tanzania #rwanda #love #tanzania #arushatanzania #daressalaam #comedy
#azamsports #kenya #uganda #ruto #maajabu
Afrimax the best channel ever
Mungu nijalie kuwa na upendo nawapenda sana afrimax swahili na ninawafuatili kutoka Tanzania
Tunakupenda Pia
Nawapenda sn kwa kuwa mmekuwa wakombozi kwa ss wanyonge tunaopitia changamoto mbalmbal ktk maisha, MUNGU AWABARIKI @@afrimaxswahili
Amebadilika kweli mungu ni mwema
Wow ❤this is so beautiful Mungu wa mbinguni awabarikisana,
Mashaallah
Mungu awabariki sana 🎉🎉
Amen,mungu nimwema barikiweni sana
Mubarikiwe sana
Wow❤
Be blessed Afrimax
Ee Yesu nipe Upendo wakweli nasio ule wa hunafiki.
U really have good 💓 heart God bleed u guy's
Subhanallah we 😢😢😢😢😢😢
Mungu ni mkubwa.God can everything.
Pole sana mungu hakuachi
❤❤❤❤ story
Maji yenye ndimu au limau kila siku. Kula zaidi mboga, nyama , samaki na kupunguza sana ugali, wali au viazi. Kunywa maji kWa Wing’i. Mazoezi ya nguvu na Kutembea sana.
Modo anaweza kabisa Mia 300 mpka 100 cyo mchezo.subra tu inahitajika alikotoka nimbali sn
First one to comment❤
Waaaauuu 🫂
May God open more ways to get her own room.
Hakuna kinacho shindikana kwa Mungu
Mungu ni mkubwa sana ashindwi nalolote
Maskini pole sana
❤❤❤❤
Afrimax please I need help Thankyou afrimax
Kumbe Kuna dawa za kupungua jmn
Jee wapi hapa ni mkabila gani huyu
Huyo ni Mnyarwanda
Happy ni rwanda dear